notegugl.blogg.se

Kitabu cha yohana
Kitabu cha yohana







kitabu cha yohana

22 Baba hamhukumu mtu ye yote, mamlaka ya kuhukumu amemwachia Mwana 23 ili kila mtu amheshimu Mwana kama amheshimuvyo Baba. 21 Kama vile Baba awafufuavyo wafu na kuwapa uzima, vivyo hivyo Mwana huwapa uzima wale awapendao. 20 Kwa kuwa Baba anampenda Mwana na anamwonyesha mambo yote afa nyayo pia atamwonyesha hata mambo makubwa kuliko haya, ambayo yatawastaajabisha. Mamlaka Ya Mwanaġ9 Yesu akawajibu, “Ninawaambia hakika, Mwana hawezi kufa nya jambo lo lote mwenyewe isipokuwa lile alilomwona Baba yake akifanya na lo lote alifanyalo Baba, Mwana pia hulifanya. Wakajaribu kila njia wapate kumwua, kwa sababu, zaidi ya kuvunja sheria za sabato, alikuwa akijifanya sawa na Mungu kwa kujiita Mwana wa Mungu. Mimi pia sina budi kufanya mema.” 18 Maneno haya yaliwaudhi sana viongozi wa Wayahudi. 17 Yesu akawaambia, “Baba yangu anafanya mema siku zote. Angalia usitende dhambi tena usijepatwa na jambo baya zaidi.”ġ5 Yule mtu akaenda, akawaambia wale Wayahudi kuwa ni Yesu aliyemponya.ġ6 Kwa sababu Yesu alikuwa amemponya siku ya sabato, wal ianza kumsumbua. Huruhusiwi kubeba mkeka wako.”ġ1 Yeye akawajibu, “Yule mtu aliyeniponya aliniambia, ‘Chu kua mkeka wako utembee.”’ġ2 Wakamwuliza, “Ni mtu gani huyo aliyekuambia uchukue mkeka wako utembee?”ġ3 Yule mtu aliyeponywa hakufahamu ni nani aliyemponya kwa sababu palikuwa na umati mkubwa wa watu na Yesu alikuwa amepe nyezea humo akaondoka.ġ4 Baadaye Yesu alimkuta yule aliyemponya Hekaluni akamwam bia, “Sasa umepona.

kitabu cha yohana

10 Kwa hiyo Wayahudi wakamwambia yule mtu aliyeponywa, “Leo ni sabato. Ninapoanza kwenda bwawani, mgonjwa mwingine huniwahi akaingia kabla yangu.” 8 Yesu akamwambia, “Simama, chukua mkeka wako, utembee!” 9 Mara moja yule mtu akapona, akachukua mkeka wake, akaanza kutembea! Jambo hili lilitokea siku ya sabato. 6 Yesu alipomwona amelala hapo, na akijua kwamba amekuwa katika hali hiyo kwa muda mrefu, alimwul iza, “Unataka kupona?” 7 Yule mgonjwa akajibu, “Bwana, sina mtu wa kuniingiza bwawani maji yanapotibuliwa. Walikuwa wakisubiri maji yatibuliwe, ĥ Mmoja wa wagonjwa waliokuwepo alikuwa ameugua kwa muda wa miaka thelathini na minane. 3 Wagonjwa wengi sana, vipofu, viwete, na waliopooza walingojea kwenye baraza hizo. 2 Huko Yerusalemu, karibu na mlango uitwao Mlango wa Kondoo, pana bwawa moja ambalo kwa Kiebrania linaitwa Bethzatha ambalo lina baraza tano zenye safu za matao.

kitabu cha yohana

Yesu Amponya Mtu Penye Bwawa La Bethzathaĥ Baada ya haya, Yesu alikwenda tena Yerusalemu kuhudhuria sikukuu mojawapo ya Wayahudi.









Kitabu cha yohana